DAR_CITY_BUS
Huu ndio usafiri wetu huku jiji Dar ukicheza tu huna kazi kaa chonho na usafiri wetu
, yani kwenda kazini saa shart uwahi sakumi na moja sivyo unalala njiani.
USIJARIBU KABISA
Jamaa mmoja alionekana katika maeneo ya magomeni akijaribu kuhamisha
pango lake kwapikipiki na hii yote ni katika kuhakikisha kuwa anatimiza
lengo lake la kuhama alipo kuwa zamani hoja ni? amehama sababu ya
kodi au manemaneno ya watu mimi na wewe hatujui ila usije jabuhii ni hatari.
TRAFFIC JAM
Hiki ndio kipindi ambacho wakazi wengi waishio ndani ya jiji hili la
Dar es Salaam huchoshwa kuwa kufikilia namna watakavyo wahi
majumbani hii imeleta kesi nyingi sana na kupishana kwa rugha
baina ya mabosi na watendaji wao,wanandoa, wapenzi pamoja na
wanafunzi na waalimu wao miundo mbinu imekuwa kikwazo sana.
UJENZI WA BARABARA
Aidha tunashukuru kwa Serikali kujitahidi kufanya marekebisho ya
baadhi ya barabara za ndani na nje mikoa katika nji yetu.
HII ITAKUWA NI KARIAKOO TU
Sasa hii ni kiboko jamani siupunguze utarudia tena au ndo kijana na maendeleo.
No comments:
Post a Comment