FASHION DESIGN BONGO
Wakali wetu wa fashion ndani ya TZ wakiwa kwenye moja ya maonesho ya
fashion show za mamiss.
DIAMOND
Huyu ni msanii wetu Diamond ndani ya mavazi akiwakilisha fashion show.
MARTIN KADINDA
Anajulikana sana kama Single Button Designer, ni moja ya designers wetu
hapa Bongo na TZ kwa ujumla.
THE MOST GOOD OF HER.
Haya dada zangu wa mitoko angalieni hii hapa!
ONA WALIVYO PENDEZA.
Kha! hata kama hutaki lakini habari ndiyo Tanzania tunaweza the most fashion
show ya Red Ribbon.
show ya Red Ribbon.