DESIGN SEBULE LAKO
Lazima uangalie na uchunguze kuwa unataka kuwa na sebure ya namna gani kwa hiyo inakubidi
kulipanga sebule lako likawa na mvuto hata unapo tembelewa na wageni wafurahi kuwapo kwako.
kulipanga sebule lako likawa na mvuto hata unapo tembelewa na wageni wafurahi kuwapo kwako.
DESIGN YA NYUMBA NA GARDEN
Kupamba sio ndani tu hata nje pia kunahitaji mapambo hebu chukua ujuzi huu kwa wadau.
KITCHEN & CEILING
Pia jikoni ni sehemu ya kuangalia sana kwani inabidi kupapamba kwa sababu ndiko hasa chakula
kinapoandaliwa, hii ni swadikta.
kinapoandaliwa, hii ni swadikta.
No comments:
Post a Comment